Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na viongozi wa Chama Wilaya ya Kaskazini A,alipofika kuweka jiwe la msingi Tawi la CCM -Kibuyuni Jimbo la Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja,alipofanya ziara ya kuimarisha Chama katika Mkoa huo jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Tawi la CCM -Kibuyuni Jimbo la Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja,alipofanya ziara ya kuimarisha Chama katika Mkoa huo jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...