he is good man. reminds me of churchill of kenya.
Huyu jamaa hachekeshi hata kidogo!
shukran issa muhidin ndugu yangu wewe poa sana nilitoa comment ya kutaka kumuona jamaa kwenye clips na sasa umetuwekea wewe poa sana may Allah bless you so much with your family and friends amin.mdau New York
Habari Ankal,Huyu bwana anajitahidi sana. lakini ukweli ni kwamba ni vigumu sana kuchekesha kwa lugha ambayo sio asili yako. Angetumia Kiswahili angepata watu wengi zaidi na kuwaacha hao wazungu wachache anaowafurahisha hapo.Comedy yake imekaa kama ya high end (waliosoma). Watanzania wengi hawajui kiingereza, yeye akiwa mmoja wao. Atumie Kiswahili ili kupata soko kubwa
jamaa sijamkubali hata kidogo hachekeshi kabisa analazimisha tu..watu kama kina mpoki au joti ndio comedians wa kweli
SECONDED
Post a Comment
he is good man. reminds me of churchill of kenya.
Huyu jamaa hachekeshi hata kidogo!
shukran issa muhidin ndugu yangu wewe poa sana nilitoa comment ya kutaka kumuona jamaa kwenye clips na sasa umetuwekea wewe poa sana may Allah bless you so much with your family and friends amin.
mdau New York
Habari Ankal,
Huyu bwana anajitahidi sana. lakini ukweli ni kwamba ni vigumu sana kuchekesha kwa lugha ambayo sio asili yako. Angetumia Kiswahili angepata watu wengi zaidi na kuwaacha hao wazungu wachache anaowafurahisha hapo.
Comedy yake imekaa kama ya high end (waliosoma). Watanzania wengi hawajui kiingereza, yeye akiwa mmoja wao. Atumie Kiswahili ili kupata soko kubwa
jamaa sijamkubali hata kidogo hachekeshi kabisa analazimisha tu..watu kama kina mpoki au joti ndio comedians wa kweli
SECONDED