africa taabu tu yani maendeleo bado kabisa na wala tusitegemee kuwa na maendeleo hivi karibuni labda tunaweza kuongelea maendeleo ya africa baada ya miaka 2500 kwasababu first of all hamna viongozi kabsaaa so tuache kulalamika
Mdau hapo juu nakuunga mkono lakini je ukipewa nafasi utafanya nini? Kama tukiwa na upendo na nchi yetu bila kujijali nafsi ni suluhusisho lakinii chembe imeoteshwa na mkoloni kunyang'anya mali!
Post a Comment