Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012- Kanda ya Ziwa, wakiwa wamepozi katika hoteli ya Monarch ambako kambi ya Mazoezi inaendelea, tayari kwa Fainali itakayo fanyika hotelini hapo Juni 30, 2012. 

Kwa mwaka huu, kanda ya ziwa ndiyo itakayo kuwa ya kwanza kufanya Fainali zake za Miss Utalii Kanda ya Ziwa 2012 na kushirikisha jumla ya warembo 15 kutoka mikoa ya Mwanza, Kagera, Geita na Kigoma. 

Shindano hilo linalo andaliwa na Fania Hassani ambaye ni Mkurugenzi wa Miss tourism Tanzania Organisation kanda ya Ziwa na Fania Beauty Saloon ya limepangwa kufanyika Juni 30, 2012 katika ukumbi wa Monarch Hotel Mwanza na kudhaminiwa na Gold Masters, Monarch Hotel, Garrett Security Items na Solar Power MSP – H na magazeti ya Gazeti la Jambo Leo, KIU Investment.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...