Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2012

    duh hapo ndipo waislam tunapojiuliza kama je hicho chama ni kweli cha kidini?

    na kama ni kweli je tukiwapa nchi mtakuja kutuamulia maisha gani sisi waislam?

    baada ya maswali yote hayo kujiuliza jibu linakuja kwa mpango huo mtaula wa chuya maana waislam hatuwapi nchi tutawamwaga

    niwaulize swali za kizushi? hamjui nchi bila waislam hamuwezi kuipata?

    hahaha mtachemsha sana nchi hiyo ina wenyewe na wenyewe ndio sisi bila ya sisi ni sawa na kutumia chujio kuchota maji

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2012

    Ni kweli hii inasikitisha. Baraza hili limeelemea upande mmoja. halina diversity wala fair representation.
    Je CHADEMA ziko wapi haki za Wasio Wakristu, Waislamu, wanawake na wenye ulemavu to just list a few? Aibu waheshimiwa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2012

    DUH! INATISHA! HAPO NI UDINI KWA KWENDA MBELE. BARAZA LIMESHENI WAKRISTO WATUPU! HATA MUSTAFA AKUNAY HATA UNAIBU KAKOSA! WAISLAMU WAWILI TU WAKRISTO WOTE

    TUKIWAPA NCHI SI ITAKUWA HIVI HIVI AU ZAIDI

    NO WAY HATUWAPI LABDA UNDER MY DEAD BODY!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 22, 2012

    Jamani si mnaona hata Nassari kapewa uwaziri, bwana mdogo shule yenyewe kasupp supp, hawana watu hawa, ila labda angefanya uteuzi wa wabunge kama RAIS????? wa CHADEMA akatafuta, watu huko Chuo Kikuu, akawapa uwaziri. Suala la udini hilo ni dhahir shahir lipo na limejidhihirishwa na bosi/mfadhili wao Mtei. As for Suzan Lyimo, mmhhhh, sisemi leo. Sijui kwa nini Elimu wasimpe Prof. after all ana shahada ya Elimu. Waislamu kuwapa kura CHADEMA ni kama kuitumbuiza katika Lindi la mavi maana uchafu utakurukia tu siku moja.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 22, 2012

    these people are not serious....

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 22, 2012

    Mchagga ni Mchagga tu!

    BARAZA LA MAWAZIRI KIVULI:

    Angalia anajipendelea Madaraka yoote na Kamati ya Uchumi,Mipango na Fedha ziko chini yake!

    Baraza limeegemea zaidi Kikanda (North, North North) No East,East East, No West, West West !

    Je hiki ni Chama cha Kikristo na Kichagga ama Chama cha Kitanzania?

    Tukiwapa Serikali si ndio siku ya Pili Benki Kuu (BOT) tutasikia imehmishiwa Moshi, Kilimanjaro na Fedha zoote zimekombwa?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 22, 2012

    Duh ndio wapewe nchi hawa hivi waislamu tutakuwa na chetu kweli? kila kwenye muislamu anaweka na kanisa pembeni yake kwa zito tu ndio yupo muislamu peke yake , mtatafuta sana lakini hampati hata kura moja ya muislamu labda awe yupo usingizini !

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 22, 2012

    Kabla ya kulaumu udini au ukabila lazima tujiulize wabunge wa Chadema ni akina nani? Inavyoelekea karibu wabunge waisilamu wote waliopo chadema wamepata madaraka. Mlitaka wapewa wasio wabunge?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 22, 2012

    Anonymous said...
    Kweli watanzania bado tuko nyuma. Yani watu bado wanaangalia uislam na ukristo? Hii kweli kali.Nchi haina dini, kwahiyo hata ingekuwa viongozi wote ni wakristo au wote waislam haina mantinki, muhimu ni kama wanauwezo wa kuendeleza maslahi ya nchi ikimaanisha, elimu, fikra, maarifa pia busara na si vinginenvyo.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 22, 2012

    Nimepatwa na mstuko mkubwa kumbe hii nchi haiwezi kwenda bila waislamu? Asante mchangiaji wa kwanza kutuwekea wazi kuwa nchi ishakuwa yenu. Mungu tusaidie Tanzania ya Sudan yasitukumbe mmmh inahuzunisha

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 22, 2012

    Kwa nini Chadema bado hawaoni haja ya kushirikisha vyama vingine vya upinzani kwenye baraza hili? Sioni sababu ya watu kama mzee cheyo, Hamadi Rashidi, kina Kafulila na wengineo ambao wangetoa mchango mkubwa kuachwa. Chadema acheni ubinafsi. Jengeni upinzani wa pamoja. Watakaoleta ukorofi itengenezwe namna ya kuwaondoa. Msipolitazama hili litawaharibia...!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 22, 2012

    Duhhh,

    Aisee (Wachagga,Wakristo) wamejipanga haswaa ajiwa !

    Hapo Zitto Kabwe ametumika kama babaisha bwege tu kwamba yeye sio Mkristo na siyo Mchagga!,,,ili kuwadanganya watu kuwa hawana ubaguzi!

    Hivi kweli Mwananchi Raia mtarajiwa asiyekuwa Mchagga wala Mkristo wa Jamhuri hiyo ya upande mmoja ya (Kichagga na Kikristo), atatendewa haki kweli?

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 22, 2012

    ''JAMHURI YA KIKRISTO YA UCHAGGANI''

    Aina ya Serikali ya namna hii haina tofauti na Genge la Wachezaji wa KAMARI WA KARATA TATU !

    ''KULA ULIWE''

    Ukistaajabuya Mussa utaona ya Firauni!!!

    Hivi mnafikiri watu Mabwege???

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 22, 2012

    WACHAGGA NA WAPEMBA:

    Ninyi tunawahesabia siku kama mkiendelea Siasa zenu za Ubaguzi, Uchochezi na kuleta mgawanyiko nchini tutawany'ang'anya Pasipoti na kuwafukuza nchini Tanzania!

    Wachagga mwende kwenu Kenya na Wapemba mwende kwa Mwarabu Mkoloni wenu Omani!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 22, 2012

    Ankal, wewe ni mchonganishi, mbona umebania comment zetu na kulalia upande mmoja.

    Sio fair, kwani watu wengi wanaongea pumba.

    Watu wanatakiwa kujua vigezo vilivyotumika.

    Acheni kusema udini na kumpiga Mungu mawe.

    ReplyDelete
  16. Susan Lyimo (mb), mi ndo sina hamu naye kabisa, kama mfanyakazi wa serikali kitengo cha elimu na madudu yanayoendelea huku nikampigia simu mheshimiwa waziri kivuli kuhusu matatizo yanayotukuta na ayaseme bungeni labda waheshimiwa hawayajui labda yatapata ufumbuzi, unajua alinijibu nini tena kwa nyodo kabisa 'SI UACHE KAZI, UKATAFUTE KWINGINE KUSIKO NA HAYO MATATIZO' hee nilichoka na kweli niliacha kazi na wengine kama mimi wanaacha kazi na hatushangai tukisikia elimu inashuka maana wale kama mie wanaoona gozigozi na kwa ushauri wa waziri(maana sijui wangapi aliwajibu kama alivyonijibu mimi) tunasepa.
    Sikutegemea utarudishwa kwenye kiti hicho, hukiwezi mamaa hukiwezi.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 22, 2012

    you can't go higher by pushing somebody down-especially the person you likely to meet with him/her regularly; i.e. home, work, schools, etc. let's stop blaming Christianity as we are all live in the same country ruled with the same people both Islam and Christians. Let’s politic be politic and Christianity be Christianity, as none mix president Kikwete / Bilal with Islamic; regardless current economy.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 22, 2012

    Duh! inasikitisha sana kuona watanzania wanavyoikosoa Chadema, mbona hamsemi kuusu uongo wa chama cha CUF ambao wengi ni waislam?? nani chama cha siasa siyo dini?? Mbona hamuoni viongozi wakuu waliopo wadarakani sasa wengi ni waislam ona Rais ,makamu wa rais, Rais wa ZNZ na makamu wote wawili,jaji mkuu TZ bara. Mbona wakrito hatusemi kitu?? inawezekana kabisa haya maoni ya kukiponda CDM yanatolewa na wanachama wa ccm ili ionekame CDM ni chama cha kidini.....

    By baba D DSM

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 23, 2012

    Tatizo la Chadema ni kuegemea zaidi Uchagga na Ukristo!

    Nchi yetu ina watu wa Makabila zaidi ya 126 na Pia watu wana dini tofauti na wengine hana Dini kabisaaa.

    Sasa kwa Dira ya Chadema ina maana pana Uwezekano kabisa wakaunda Serikali ya Kibaguzi AMBAPO WANAWEZA KUFANYA MAAFA MAKUBWA MWAWILI HAPA CHINI:

    1.KULIHAMISHIA BUNGE NDANI YA KANISA BADALA YA JENGO LA BUNGE KUTUMIKA KWA SHUGHULI ZA BUNGE.

    2.WANAWEZA KUENDESHA BUNGE NA SERIKALI KWA LUGHA YA KABILA MOJA LA KICHAGGA.

    YALIYO MAZURI YA CHADEMA YATAZINGATIWA NA YALIYO NA WALAKINI YATAEPUKWA DAIMA.

    MNAOWATETEA CHADEMA TUMIENI AKILI ZAIDI KULIKO UBISHI NA USHABIKI !!!

    MSIWE KAMA WASHIRIKI WA GENGE LA KAMALI YA KARATA TATU.

    Msifikiri watu hawana akili nzuri!

    SASA HAWA KWELI NI WATU???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...