Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Ofisi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Idara Maalum katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Idara hizo, katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Baadhi ya watendaji wa Ofisi za Idara Maalum katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,mkutano huo unahusu masuala mbali mbali ya kiutendaji,katika idara hizo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...