Msanii wa kikundicha cha Pah- one akipagawisha wakazi wa jiji la Dares Salaam waliofika katika uzinduzi wa tamasha la”WAJANJA” tamasha hilo linaendeshwa na Vodacom Tanzania, limezinduziwa rasmi Leo na litaendelea kufanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure.
Mmoja wa wakazi wa jijini Dares Salaam aliefika Coco-Beach kushuhudia uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”Linaloendeshwa na Vodacom Tanzania akipata huduma ya Vodacom Dstv,Tamasha hilo litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure.
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi.Joseline Kamuhanda akiongea na waandishi wa habari waliofika kushuhudia uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”Coco Beach jijini Dares Salaam leo,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,Tamasha hilo litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure.
Umati wa wakazi wa Jiji la Dares Salaam waliojitokeza katika uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”Coco Beach jijini Dares Salaam leo,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,Tamasha hilo litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kevin Twissa (kushoto)akiwa amepozi kwa picha na Mtangazaji wa Clouds FM,Hamis Mandi a.k.a B12.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...