Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (aliyeweka miwani kifuani) akifurahia jambo wakati Mkuu wa Wilaya ya Geita , Manzie Mangochie akijaribu moja ya pump ya visima vya maji katika mradi unaojengwa kwa sh. milioni 25 na TBL katika Kijiji cha Mkolani I, Geita, viongozi hao walikwenda kukagua mradi huo juzi.
Mkandarasi wa mradi wa visima vya maji, Enock Kangasa akisukuma pump ya moja ya visima vya maji mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Geita Manzie Mangochie (kushoto), kilichojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa gharama ya sh. milioni 25 katika Kijiji cha Mkolani I, wilayani Geita juzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2012

    saafi sana tbl hili ndilo linalotakiwa kwa wote mnaojionyesha mmetenda hili na lile,kurudi tena kisha kuelemisha na kupanga na wadau.viongozi wetu igeni hayo maana huwa hamgeuzi shingo mkisha pigwa picha.utamaduni huu uwe wa kuigwa msijisikie vibaya kwani haya ndio mazuri sio yale ya viten par
    niliyeguswa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...