Yale yalee na wale wale. Come on!!
Kwani ndugu yangu mdau wewe ulikuwa na mawazo gani?Kina nani uliekuwa unawataka wewe?
Hivi hakuna watu wengine wabunifu zaidi ya sura hizi hizi ambazo kwenye mashirika waliyoyaongoza hawakuwa na jipya zaidi ya kashfa za hapa na pale ?
Shirika lina ndege moja kuu kuu,wafanyakazi lukuki na wajumbe wa bodi juu!! Hakyanani Tanzania kuna vituko
Muwe na ufahamu mnapotoa maoni yenu. Unaposema yaleyale na walewale inadhihirisha jinsi gani huna hoja unaongozwa na majungu tu. Naomba nikupe mfani Bibi Margret Munyagi ni Mzoefu katika idara ya na ameongoza TCAA sijui kama unailewa kw a ufanisi na mafanikio makubwa. Wengine hao sikwambii fuatilia mwenyewe acha ububusa watu wamepewa kazi waache wafanye kazi.. Upo!
Ndio watoto wa Chadema wanataka kuja kuendesha nchi. Hii nchi inaelekea kuangamia kwa mtindo huu na watu hawa. Hawana maarifa yoyote, na sistaajabu ni magrauate, hao ndio wanaoongoza kwa umbumbumbu pamoja na kuwa na degree. Tena waliosoma siku hizi wanaona wao ndio ndio waliosoma wengine hawana elimu hasa wakimuona ana jina asilolipenda. Mtakufa navyo vijiba vya koo.Wakiona vinaelea vimeundwa. Hata Nuhu aliunda merikebu lakini ilizama.
Afadhali serikali inajitahidi kurudisha hadhi ya taifa. Tuliashaanza kupitwa na majirani zetu na mashirika yao ya juzi.Kuna wazalendo wa ukweli na wenye uwezo wa kusaidia kunyanyua shirika na hadhi ya taifa. Bodi iangalie tu upande mzuri.
hawa wote ni watu makini sana! sio wabadhirifu. gud luck to all of them. will be challenging
Post a Comment
Yale yalee na wale wale. Come on!!
Kwani ndugu yangu mdau wewe ulikuwa na mawazo gani?
Kina nani uliekuwa unawataka wewe?
Hivi hakuna watu wengine wabunifu zaidi ya sura hizi hizi ambazo kwenye mashirika waliyoyaongoza hawakuwa na jipya zaidi ya kashfa za hapa na pale ?
Shirika lina ndege moja kuu kuu,wafanyakazi lukuki na wajumbe wa bodi juu!! Hakyanani Tanzania kuna vituko
Muwe na ufahamu mnapotoa maoni yenu. Unaposema yaleyale na walewale inadhihirisha jinsi gani huna hoja unaongozwa na majungu tu. Naomba nikupe mfani Bibi Margret Munyagi ni Mzoefu katika idara ya na ameongoza TCAA sijui kama unailewa kw a ufanisi na mafanikio makubwa. Wengine hao sikwambii fuatilia mwenyewe acha ububusa watu wamepewa kazi waache wafanye kazi.. Upo!
Ndio watoto wa Chadema wanataka kuja kuendesha nchi. Hii nchi inaelekea kuangamia kwa mtindo huu na watu hawa. Hawana maarifa yoyote, na sistaajabu ni magrauate, hao ndio wanaoongoza kwa umbumbumbu pamoja na kuwa na degree. Tena waliosoma siku hizi wanaona wao ndio ndio waliosoma wengine hawana elimu hasa wakimuona ana jina asilolipenda. Mtakufa navyo vijiba vya koo.
Wakiona vinaelea vimeundwa. Hata Nuhu aliunda merikebu lakini ilizama.
Afadhali serikali inajitahidi kurudisha hadhi ya taifa. Tuliashaanza kupitwa na majirani zetu na mashirika yao ya juzi.
Kuna wazalendo wa ukweli na wenye uwezo wa kusaidia kunyanyua shirika na hadhi ya taifa. Bodi iangalie tu upande mzuri.
hawa wote ni watu makini sana! sio wabadhirifu. gud luck to all of them. will be challenging