Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw Rene Meza akielezea jinsi Vodacom ilivyochangia zaidi ya shilingi bilioni 700 katika malipo ya kodi ya serikali alipokutana na waandishi wa habari mjini Dodoma.
Ofisa Mkuu wa Mahusiano ya Jamii wa Vodacom, bi Mwamvita Makamba akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kukutana na kamati ya bunge ya miundo mbinu, sayansi na teknolojia mjini Dodoma.
Mhariri wa gazeti la The Guardian Bw. Florian Kaijage akiuliza swali kuhusiana na Vodacom Tanzania kuchangia zaidi ya shilingi bilioni 700 katika kodi za serikali katika mkutano na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza(hayupo Pichani), kushoto kwake ni mhariri wa gazeti la Mwananchi Bw. Neville Meena.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2012

    Billion 700 !!!!!!! jamani mpooo wale wenye tabia ya kuchonga saaana lakini kutwa mko bar kujua kwingi mbele giza, yenu ni kulaumu makampuni ya kigeni, o nchi imeuzwa , o,Kikwete O, mabepari N.K je hiyo kampuni yenu ya TTCL imechanga ngapi ???? au hao wajanja wa Tannesco. Jamani acheni mjengewe nchi, tukubali tu kwamba sisi hatu .... ( WEZI) tunalolijua ni WIZI tu na kuharibu, au kuchonga domo kama nilivyosema hapo mwanzo. Zebedayo -kweli inauma.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2012

    Huyo florian alishindwaje kuendesha TFA kama si wizi? Tuanagalie kwanza matumbo ya watu na tuwaulize wana ugonjwa gani kama si utapiamlo basi ni mafisadi na hasa mashavu yakivimba kiaina.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2012

    MWANITA HAJA CHUMBIWA MBONA MZURI NA BADO JINA HAJABADILI? SINGLE BOYS VIPI?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 14, 2012

    Anonymous wa Thu Jun 14, 08:50:00 AM 2012

    ...MWANITA HAJA CHUMBIWA MBONA MZURI NA BADO JINA HAJABADILI? SINGLE BOYS VIPI?...

    Bwana Mkubwa hapo juu tuheshimiane tafadhali Mdau mwenzangu !

    Mimi Mgosi wa Kaya kutoka Tanga mwenye mzigo nimo humu Jamvini siku hadi siku kipindi hadi kipindi nikimfuatilia Mwamvita!

    Nilishawaeleza awali ya kuwa nitaanzia kwa Mhe. Waziri January halafu nitamalizia kwa Sheikh Yusuf nitakuwa nimekiweka kitu mkononi mngoje kulishwa Pilau tu!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 14, 2012

    VODACOM inatuwezesha kwa kweli!!!

    Ni mfano wa kuigwa ktk Tanzania!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...