Michael Kapinga  akionyesha umahiri wa kuonyeshakipaji cha  kuimba wimbo wa I tried ulioimbwa na Akon na Bone Thugz, wakati wa hafla ya kujipongeza kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dar es Salaam Independent iliyo jijini Dar es Salaam,kwa kuhitimu kidato cha Nne na cha Sita ,Hafla hiyo iliandaliwa na Saida Kapinga wa Elements Events.
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam Independent iliyo jijini Dar es Salaam,Owen Karonga na Carine Maro ambao waliibuka washindi kwaa kuwanadhifu katika hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu
ya kidaoto cha Nne na cha sita iliyofanyika katika Ukumbi wa Little Theatre Oysterbay. Kushoto  ni Mkurugenzi wa Elements Events Saida Kapinga ambaye ndiye aliyeandaa hafla hiyo.kushoto ni Mwalimu wa Wanafunzi hao.
 
 Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dar es Salaam Independent ya jijini Dar es Salaam, wakionyesha vipaji vyao vya kusakata muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya kidaoto cha Nne na Sita

Wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Dar es Salaam Independent ya jijini Dar es Salaam,carine Maro ambaye aliipuka Mshindi wa kuvaa vizuri kwa upande wa wasichana na Owen Maronga ambaye pia aliibuka mshindi kwa upande wa wanaume wakionyesha vipaji vyao vya kusakata muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya Kidato cha Nne na Cha sita  


Michael Kapinga akihojiwa na Mon Rack (kulia) baada ya kuonyesha kipaji  cha hali ya juu cha kuimba,wakati wa hafla hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...