![]() |
Waziri wa Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika wa Zanzibar, Mh Haroun Ali Suleiman, akihutubia katika mkutano wa 101 wa shirika la kazi (ILO) duniani unaondelea jijini Geneva Uswisi. Zaidi kuhusu mkutano huu BOFYA HAPA |

Ohhh Wazanzibari hatuna kazi ni bora tuuvunje Muungano!
Dunia nzima inatapatapa na msidanganyike hakuna uwezekano kila mtu ktk jamii akawa ameajiriwa!,,,kama unabisha utazunguka Dunia nzima hadi uanguke kwa kizungu zungu huwezi kufika nchi kama hiyo labda Peponi!
Mnaona Mhe. Haroun Ali Suleiman ndio kama mnavyomuona anawasakia mipango ya kazi Kisiwania!
Sasa Wandugu huko Zenji Mwanauchumi gani Duniani aliwadanganya ya kuwa suluhisho la ukosefu wa kazi Visiwani ni kuvunja Muungano?
comment yangu hujaiweke umeiweka hii ya fisadi mwenzako ili azidi kutuponda, hatutaki mungano hatutaki muungano na inshallah tukipata nchi yetu tutajitengenezea wenyewe makazi yetu na mambo yetu na mtutuoa na mtakufa na kijiba cha rohoo
kama mna ubavu tuachiyeni tupumuwe tupeni nchi yetu hatutaki muungano hatutaki muungano wa aina yeyote ile, serikali tatu wala kumi na tatu hatutaki muungano na nyinyi jamani
kazi kwako kama na hii comment uta delete au vipi na uzidi kuwaweka mafisadi wenzio wewe michuzi