Banda la NSSF
Ofisa Mipango Mkuu wa NSSF, Gerald Peter Sondo akifafanua jambo wakati Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba alipotembelea banda la NSSF
Ofisa wa NSSF, Sakina Mbullo akitoa kwa wananchi waliotembelea banda la NSSF
Ofisa wa NSSF, Aisha Marine akitoa ufafanuzi kuhusu Mafao ya Matibabu kwa Wanachama wa NSSF.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2012

    Banda kweli limeng'aa ila ofisi zao jamani ni chafu halafu vyoo vinanuka mpaka aibu. nenda ofisi zao ubungo, kila siku choo kina harufu mpaka unasikia kutapika. hapo unapita kwa nje tu sijui ukiingia ndani pakoje. Msioshe uso tu na makwapa pia!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...