Duh! na Utanzania wote, kiswahili kilichotumika kwenye taarifa hii kiliniacha kidogo. "Guruneti" na "Barakowa". Nimefurahi kujifunza lakini.
Mdau wa kwanza unaishi wapi? Mbona hayo maneno yanatumika hapa Tanzania. Ongea na watu wa usalama watakueleza ni lini walianza kuyatumia. Labda kwa vile nchi yetu haikuzoea vitendo vya kigaidi ndo mana wengi hamfahamu maneno kama hayo.
Pointi hasa ya kuweka hii video ilikuwa nini? Naomba msaada kuelewa.
Post a Comment