Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi(katikati) akiongozwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda kutembelea mabanda mbalimbali leo jijini Dar es salaam katika maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi(katikati) akitoa maoni yake leo jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo mstaafu kutembelea bustani ya mfano ya MAGEREZA katika maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi(kulia) akiangalia mahindi yaliyopandwa kitaalamu jana (leo) jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo mstaafu kutembelea bustani ya mfano ya MAGEREZA katika maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi akipatiwa maelezo leo jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo mstaafu kutembelea banda la MAGEREZA kuona thamani za majumbani wakati alipotembelea maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi akisalimiana na Meneja Mauzo wa TANCOAL Christopher Temba (kulia) leo jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo mstaafu kutembelea banda la Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC). Kiongozi huyo mstaafu alikuwa katika maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi akipata maelezo juu ya miradi mbalimbali inayosimamiwa na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) leo jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo mstaafu alipotembelea maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar es salam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2012

    Mwinyi ni babu yetu jamani, kwa hiyo wakati mwingine tuwe tunamtania, ni nzuri kwa afya yake pia.

    Kwa mfano, katika hii ziara angepigwa pamba za bling bling kama P Diddy vile ingekuwa poa sana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2012

    Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi alizaliwa 1925. Hii ina maana kuwa ana umri wa miaka 87 na bado yuko active. Siri yake nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...