Walimbwende wanaowania taji la Redd's Miss Higher Learning wakiwa kwenye kambi yao ambapo fainali yao itakayofanyika kesho kwenye ukumbi wa New Maisha Club Jijini Dar Es Salaam na mshindi anatarajiwa kuondoka na kitita cha shilingi milioni mbili za kitanzania (Picha kwa hisani ya Intellectuals Communications Ltd)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...