Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Hispania wakishangilia ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Ulaya walioupata muda mfupi uliopita kwa kutandika bao 4-0 timu ya Taifa ya Italy.
Torres akiipachikia timu yake ya Spain bao tatu dhidi ya Italy katika fainali iliyomalizika muda mfupi uliopita,ambayo imeipatia ubingwa kwa mara nyingine timu ya Taifa ya Hispania kwa ushindi mnono wa mabao 4-0.

David Silva na goli la kuongoza.
Ni furaha tupu kwa Upande wa Hispania.
Balloteli leo hata hakufua dafu.
Kocha wa Italy kazini.
Mtu mzima anaposhindwa kuwa dawa.

Post a Comment