Wateja wa benki ya CRDB wakipata huduma za kutoa pesa katika gari kutoa huduma za kibenki la 'Mobile Branch' lililopo katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya 36 katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wateja waliofika katika banda la Maonyesho la CRDB wakipata huduma za kibenki.
Mobile Branch.













































Post a Comment