Ujenzi wa barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo kasi unaendelea kwa kasi kila kona ya jiji la Dar es salaam kama taswira hizi zilizonaswa leo maeneo ya Ubungo zinavyoonesha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Serikali ina chukuwa hatu gani? Vyama vya haki vya binadamu zina sema nini Tanzania? Serikali ina sadia vipi kwa kuelimsha wananchi? Mungu awalaze pema.

    ReplyDelete
  2. Inasikisha sana,pole kwa familia.Migodi,hasa hii ya chini(Underground mines)kubomoka si kitu cha ajabu sana hata hii ya kisasa inabomoka duniani kote ikiwemo Tanzania.Suala muhimu ni wahusika,zonal mine engineers,n.k kuendelea kutoa elimu ya uchimbaji kwa wachimbaji hawa wadogo wadogo,ikiwemo na kuendelea kuikagua mara kwa mara migodi hii(Artisanal Mines).

    David V

    ReplyDelete
  3. Nyie juu, put your comments in the right spot, vinginevyo hazina maana maana zinaweza kutowafikia walengwa.

    ReplyDelete
  4. Huu mradi mimi sijaulewa kabisa. Naona kama utakuja kuwa chinja chija.

    ReplyDelete
  5. Hivi mbona waafrika tunapenda kubuni vitu vya kubananabanana.

    ReplyDelete
  6. Tatizo la msingi na linaloleta foleni ni maeneo ya njipanda kama ubungo mataa, Tazara, magomeni, fire, moroco, karume nk. Wangeboresha sehemu hizi hakika foleni ingepungua kwa kiasi kikubwa sana. lakini hapo naona kama kipaumbele ni mabasi yaendayo kasi, na siyo kupunguza foleni.

    Yaan hata yaje mabasi yaendayo kasi, kama maeneo yenye junction hayawekwa flyover/underway au kupanuliwa, basi foleni itabaki palepale.2

    ReplyDelete
  7. Lakini nyie watu hapo juu ,mbona shule ndogo ?? hakuna haja ya mafly over wala under pass, solution ni simple kabisa,kila wilaya ijitegemee kwa mahitaji karibia yote, hivyo haitakuwa na ulazima kusafiri kwenda kariakoo kutafuta misumari wala simenti au vitunguu. Tangu mlimani city ilipokamilika , imeleta ka utofauti fulani kwenye barabara zetu,yes nyie hamna statistic za namna hii ,maana mlijualo ni shutuma tu ( easy said than done) big mouth zero actions. Kuna watu wengi sana siku hizi wanaokaa Mikocheni au Mwenge,kariakoo hawajaiona yapata mwezi sasa. Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  8. Yes big mouth. Tatizo ni kwamba vyeti tunavyo lakini elimu tumeiwacha shuleni. Luhanga wakati alisema vijana wengi wanaingia Vyuo vikuu lakini wanaondoka n a veti tu elimu wanaiacha palepale. DESA ndio mtindo wao. Sasa hata kama ni Engineer kama hatajatanua elimu kwa kusoma vitabu na kutoa akilini mwake solutions itaendeleaje nchi hii. Wanakaa domo kaya. Wangojee CHADEMA itajenga flyover in 100 days.

    ReplyDelete
  9. wee zebedayo ndio jinga kwelikweli nani kakuambia kwamba watu tunasafiri kutoka wilaya mpaka wilaya kufuata misumali na vitunguu au hivyo vilivyoko kariakoo tuu? aliyetoa wazo la flyovers/underway kwenye makutano ndio ninaemuelewa, kwani utatuzi wa namna hiyo ndio endelevu
    1.traffic jam itapungua.
    2.jiji litapendeza
    3.ni maendeleo
    4.tutajua namna ya kutumia aina hizo za barabara hapa hapa nchini hata tukienda nchi nyingine ambako zipo hatushangai tayari tunajua kuzitumia.
    5.uhuru wetu wa kutembea kutoka wilaya moja kwenda nyingine utadumishwa, sio kubaki wilaya moja kama wafungwa wa kiwilaya!!

    mwisho fedha ya kurekebisha hayo makutano zipo, ndio hizo zinazojenga mradi wa mabasi yaendayo upesi/haraka,
    mradi ambao nina wasiwasi kama utadumu. kigezo UDA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...