Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. naona boflo linapeta huku ford Anglia ikisubri muda wake, safi sana

    ReplyDelete
  2. Good memory!

    ReplyDelete
  3. Thanx for posting! During those times, even a head master (teacher)could afford a Ford Anglia. And the bus should be Leyland....
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  4. Hiyo itakuwa pale daraja la ruaha mbuyuni safi sana mdau kwa kutukumbusha enzi hizo

    ReplyDelete
  5. Picha nzuri sana jamani!!!! Thanks!! Hata mimi nahisi hapa ni pale Ruaha Mbuyuni...Tunaomba mdau yeyote atakayepita hapa siku za karibuni atupigie picha akiwa mahali hapa ili tuangalie mabadiliko yaliyojitokeza !!! Tunaomba muendelezo wa hii makala ya OLD SKUL PIKCHAS ili tujikumbushe mengi!!! Many Thanks

    ReplyDelete
  6. Hiyo ilikuwa miaka gani ama ilikuwa miaka sawa na Umbali wa hizo MILES?

    IRINGA 72 Miles = mwaka 1972?
    MBEYA 30 Miles = mwaka 1930?

    ReplyDelete
  7. Those were OLD GOOD DAYS when Apple and Blackberry were just eating fruits and not phones!

    ReplyDelete
  8. Hapo miaka hiyo kuisafisha picha hiyo ya rangi baada ya kupigwa ilichukua mwezi mmoja!

    ReplyDelete

  9. Hapo ambacho hakijabadilika ni mawingu tu, wengi waliokuwepo kipindi hicho hawapo hivi sasa kweli dunia watu wanapita tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...