Ndugu Timothy Kulewa wa Manchester Uingereza, anasikitika kutangaza kifo cha Mke wake Maryam Nassoro Jaffuru kilichotokea juzi 26/08/2014 kwa Ajali ya gari Morogoro akitoken safarini mwanza. Mazishi yanafanyika kesho Ijumaa 29/08/2014 saa Tisa alasiri katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam, Baada ya Misa itakayofanyika Kanisa la kilutheri Mbezi Beach ( Tangi Bovu) saa Saba mchana.

Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina lake lihidimiwe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. RIP.....YAANI KTK DUNIA NZIMA AJARI ZA BARABARANI ZENYE KUONDOA UHAI NI TANZANIA PEKEE SIJUI KWANINI...INAUMA SANA KUSIKIA WATU WANATEKETEA WATU WAMESHINDWA KAZI....

    ReplyDelete
  2. POle sana Timothy Mungu akupe faraja katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wako.

    ReplyDelete
  3. RIP Mariam

    ReplyDelete
  4. Poleni sana wafiwa. Mimj nawaobea mpate nguvu na baraka. Mwanga wa milele uwamulikieni wakati huu mgumu.

    ReplyDelete
  5. Hizi ajali zimekuwa nyingi sana jamani. Serikali ina mpango gani kupunguza ???????

    ReplyDelete
  6. Ndugu yetu Maryam, umeondoka na sisi tuko njiani. Mungu akulaze pahala panapokustahikia. Ameen.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...