Mwanafunzi wa Chuo kikuu huria cha Tanzania Bw. Mussa Omari (katikati) akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu tamko la kulaani kauli za mwenyekiti wa chadema taifa za kuhamasisha uasi kwa njia ya maandamano, wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Bw. Gulatone Masiga akitoa wito kwa wananchi kuudumisha muungano wetu na kuacha kupelekwa na wanasiasa wasio na misingi ya kidemokrasia.Kulia ni Mwanafunzi wa Chuo kikuu huria cha Tanzania Bw. Mussa Omari.
Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Theodora Malata akiwaeleza jambo waandishi wa habari leo wakati wa Mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi mbona hakuna utaratibu wa kidemokrasia wa kuvunja muungano ikiwa tuna hiari?

    Maana hatuna uhuru wa hiari wa kuvunja.

    iga mfano mzuri wa UK na Scotland.

    hata kuungana ilikuwa demokrasia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...