Gari aina ya Toyota Mark 11 ya mwaka 1992 inauzwa mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Liko katika hali nzuri sana na tayari imetembea 52021KMS. Ni Manual, 1988cc. Bei ni shilingi  4.5m/- .kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0755 659929.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hii gari mpaka leo haijauzwa,punguza bei mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...