IMG-20141025-WA0035
Familia ya Ntevi inasikitika kutangaza kifo cha Mpendwa wao  Dkt Kansolele Ntevi kilichotokea ghafla tarehe 22/10/2014 jijini Dar es salaam.  Habari ziwafikie ndugu, jamaa, marafiki na majirani wote popote pale walipo.
 Mazishi yanatarajiwa kufanyika jumatatu Tarehe 27/10 / 2014 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam. 

Kutakuwa na ibada ya kuuaga mwili wa mpendwa wetu marehemu Dr. Kansolele Ntevi nyumbani kwake maeneo ya Kunduchi baada ya chuo cha jeshi njiapanda ya Madini, barabara ya vumbi, nyumba ya tatu. 

 Kwa mawasiliano na familia piga namba 0767004908 au 0717017820
Pole saana Dada Dorothy wa Dorcas Catering
Sisi tulimpenda, Ila Mungu kampenda zaidi.
Jina la Bwana na Lihimidiwe - AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kifo huwa tunasikitika kutangaza na sio tunapenda kutangaza. Angalieni matumizi ya lugha. Poleni wafiwa

    ReplyDelete
  2. Mgaywa MagafuOctober 26, 2014

    Pole sana mdogo wangu Dorothy pamoja na watoto. Mungu akupe wepesi wewe na familia katika kipindi hiki kigumu.

    Mgaywa Magafu

    ReplyDelete
  3. Rest in peace Dr..what a loss

    ReplyDelete
  4. RIP Dr & Poleni wafiwa, Dar tunahitaji mfumo mzuri wa mitaa na address za kueleweka. Hayo maelelekezo ya kufika hapo kwake ni magumu hasa kwa mtu anaefika hapo kwa mara ya kwanza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...