Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa  UVCCM Sixtus Mapunda wakitazama mazoezi ya mwisho ya Chipukizi hao
 Mshika bendera ya CCM kwenye kikosi cha Bendera cha Gwaride la Umoja wa Vijana wa CCM, Sharif Mohammed na wenzake wakipita kwa ukakamavu mbele ya jukwaa kuu wakati wa mazoezi ya mwisho ya gwaride na halaiki kwa ajili ya Kilala cha Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yanayofanyika kesho Kitaifa kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma 
 Vijana wa Chipukizi wa CCM wakionyesha ukakamavu wakati wa mazoezi yao ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea
 Vijana wa Chipukizi wa CCM wakionyesha ukakamavu wakati wa mazoezi yao ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea
 Vijana wa Chipukizi wa CCM wakionyesha ukakamavu wakati wa mazoezi yao ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. La! Jamani tafutieni viatu hawa vijani. Nini lakini hivi???

    ReplyDelete
  2. Watoto wanapiga kwata bila viatu??!!! Hii imekaaje! Waheshimiwa wanafurahi tu juu ya jukwaa wala hawaoni kuwa hii haikukaa sawa. Kweli tuna safari ndefu saana. Mwaka 2015 Maadhimisho ya kitaifa CCM, WATOTO WANAGONGA ARDHI MIGUU PEKUPEKU!

    Disappointed Tanzanian.

    ReplyDelete
  3. Mbona hawa vijana hawana viatu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...