Kiwanja kinauzwa kipo mbweni Block 1, kimepimwa na kina hati halali. Ukubwa ni square meters 920(Middle Density).

Kiwanja kipo karibu na barabara  kuu ya lami na kituo  cha basi Kiwanja hiki ni kizuri kwa ujenzi wa nyumba ya kuishi.

Anayeuza ni mmiliki halali wa kiwanja hicho na bei ni shilingi Milioni 100. 

Kwa mawasiliano zaidi piga simu: 0717 935322.
Au kwa barua pepe: fmaua@aol.com


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kiwanja kipo sehemu nzuri sana na kina ukubwa mzuri sana kwa kweli ningekuwa na chapaa ningenunua maana hata bei yake sio mbaya ni hela ya Chai tu au vihela vya mboga tu

    ReplyDelete
  2. wabongo kwa usanii !! wewe unayeuuza kiwanja na kujiita eti " mmiliki " toka lini ardhi nchini Tanzania ikamilikiwa na mtu binafsi ? umeazimishwa ardhi kwa miaka 99 na serekali kwa bei ya kiserekali na wewe leo unataka kuzungusha na kuiuza hiyo ardhi kwa Tsh 100 Milioni ? !!! Kweli wajinga ndiyo waliwao!!!

    ReplyDelete
  3. Mjau Ben.Kuna watu hujiita wamiliki halali huku wakiwa na hati feki(makanjanja).Hilo la kuwa mmiliki wa miaka99,66 au 33 kila analiewa na liko kwenye hati na sharia ya ardhi ya mwaka 1999.Ardhi inapanda thamani na haishuki HILO ulielewe.Watanzania ni walalamishi.Mmilik kaamua kuuza na ni Haiti yake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...