Home
Unlabelled
WAZIRI MKUU MAJALIWA ALIVYOTEMA CHECHE MAMLAKA YA MAPATO (TRA) LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Msemo Asilia wa-Watanzania
ReplyDeleteTunasema HONGERA BABA Tuko nyuma yako.
The mdudu , eee mungu we tuna kushukulu sana kwa kutupatia hawa viongozi wenye kujua nini waki fanyacho haki ya mungu watanzania wote wapenda maendeleo let us #tanzaniampyahiyoyaja
ReplyDeleteMajipu..tumbua..majipu tumbua..
ReplyDeleteMwenyezi Mungu uwasimamie na uwalinde Viongozi wetu wakuu
tafadhali michuzi mwambie majaliwa bado tunasumbuliwa na matrafiki barabarani , wawapangie kazi nyengine waache usumbufu kwa wenye vipando , wale sio usalama barabarani ila ni usumbufu barabarani
ReplyDeleteHatuna la zaidi usipokua kumshukuru mungu, Kiluo chetu, Dua zetu kazipokea
ReplyDeleteIlikua ni aibu sana kwa nchi yangu Tanzania kwa zaidi ya miaka ishirini kuwa na viongozi waliokua si waadilifu kabisa, walio shindwa kukemea rushwa ufisadi na ubadhilifu wa Mali za umma n.k, Leo mungu ametuletea viongozi walio wakweli na wenye kufanya kazi inavyopaswa. Mungu wabariki viongozi hawa, Mungu ibariki Tanzania
ReplyDeleteHabibu Mponenzya duuh hiyo kali na mali zake zichunguzwa huyu jamaa naamini hivyo alipata mali nyingi sana ambazo sidhani kama atakuwa na maelezo nazo.
ReplyDeleteEheee mola ibarki safari ya mh pombe na viongozi wake, ibariki tanzania na watu wake!
ReplyDeleteNIKISOMA HABARI HIZI MACHOZI YANANITOKA TU ,MUNGU AWALINDE VIONGOZI WETU
ReplyDeleteWaende tu tumewachoka walikua wanakula keki ya taifa pekeyao
ReplyDeleteMara nyingi mwenyezi Mungu humpa majaribu mwanadamu nasi tumepata majaribu kwa mmuda mrefu na naamini Mungu anatupa majibu baada kushinda majaribu kwani kwa aibu tuliopitia kwa Muda mrefu ingeweza kututoa kwenye msitari ila watanzania tumekuwa wavumilivu kiasi sasa Mungu anatuona siyo siri hata mimi nasikiliza huku machozi yananitoka.tumepata Nyerere wawili kwa sasa
ReplyDelete