Serikali yaweka lengo lenye nia ya kuhakikisha ifikapo mwaka 2020 , ailimia 50 ya watanzania wote wawe wamejiunga na mfuko wa afya wa hifadhi ya jamii.https://youtu.be/vLoKdCo_t7g
Hali ya baadhi ya miundombinu ya barabara katika jiji la Dar es salaam yaelezwa kuwa mbaya kutokana na kutofanyiwa ukarabati kwa muda kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha. https://youtu.be/cJQaN7mXNGc
Wizara ya fedha na mipango na mipango imeonya kuwachukulia hatua kali baadhi ya wananchi wakaothibitika na ukwepaji wa kodi.https://youtu.be/N8p2z4prYo0
Serikali yaagiza wakandarasi waliositisha ujenzi wa miundombinu nchini kuendelea na kazi zao baada ya kuwalipa sehemu ya deni.https://youtu.be/ErTNgmOJA6o
Baadhi ya wagonjwa katika hospitali ya Mji Mwema manispaa ya Songea mkoani Ruvuma waelezwa kujisaidia kwenye ndoo na madishi kutokana na kufurika kwa vyoo hospitalini hapo. https://youtu.be/4_aE74gDBFw
Wajumbe 2 katika tume ya uchaguzi Zanzibar ZEC kutoka chama cha wananchi CUF wapinga marejeo ya uchaguzi na kudai mwenyekiti wa tume hiyo amepoteza sifa kisheria na kikatiba kusimamia uchaguzi.https://youtu.be/LKlFASsChG0
Madiwani wilayani Kaliua mkoani Tabora wamesema mwaka ujao wa fedha wataelekeza juhudi katika miradi michache inayoweza kukamilika kwa wakati;https://youtu.be/3dd7mSAkJuE
Serikali yatoa onyo kali kwa maafisa maendeleo ya jamii watakaoshindwa kupambana na vitendo vya ukeketaji katika jamii;https://youtu.be/ZT2Y2ml7bBc
Ng’ombe zaidi ya 110 wazuiwa wilayani Misenyi mara baada ya kubainika kuwa wanaugonjwa wa midomo na miguu pamoja na mapafu;https://youtu.be/OS0irQALY3o
Inaripotiwa kuwa ofisi ya bunge mkoani Dodoma yaanza ukarabati wa jengo la ukumbi wa bunge; https://youtu.be/PSQnaODfNw0
Serikali wilayani Nachingwea yaahidi kujenga ukuta katika shule ya sekondari ya wasichana Nachingwea ili kudhibiti vitendo vya kihalifu;https://youtu.be/MFYgFDKkLuc
Miili ya askari watatu wa jeshi la polisi waliopoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea jana wilayani Ikungi mkoani Singida yaagwa;https://youtu.be/BBDbJ48J9XY
Timu ya Yanga yaitandika JKT Ruvu kwa jumla ya goli 4 kwa 0 katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliofanyika katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam; https://youtu.be/RAHjbv1yUNM
Shirikisho la soka nchini Sudani kusini latangaza kumuunga mkono mgombea Urais wa FIFA, Gianni Infantino kutokana na mipango aliyonayo juu ya taifa hilo; https://youtu.be/bETRiWHWIbs
Vikosi vya ulinzi na usalama visiwani Zanzibar vyatakiwa kuwa mstari wa mbele katika kulinda na kutetea mapinduzi ya Zanzibar; https://youtu.be/4wt7jkX-L4E
Mahakimu visiwani Zanzibar watakiwa kutenda haki kwa usawa kwa kila mwananchi wakati wa kutoa hukumu; https://youtu.be/pXJHe_Ax7dE
Wananchi visiwani Zanzibar washauriwa kujiunga katika vikundi vidogo vya kiujasiriamali ili kujikwamua kiuchumi; https://youtu.be/tglSThQi4MA
Vijana visiwani Zanzibar watakiwa kuwa makini na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii ili kuepusha matatizo yanayoweza jitokeza;https://youtu.be/XO6wDvBiYAI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...