Meneja wa Bia ya Castle Lite,Pamela Kikuli (katikati) akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa kopo jipya la Bia hiyo uliofanyika jana jioni kwa baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),waliopo kwenye kiwanda cha Kampini hiyo,Ilala Mchikichini,Jijini Dar es Salaam.















































Post a Comment