Jumuiya ya watanzania ugiriki inasikitika kutangaza kifo cha mwenzetu ASHA KALLENGA (pichani) kilichotokea usiku wa kuamkia leo 10/06/2012 katika hospitali ya Evangelismos mjini Athens. Marehemu kabla ya kuwasili ugiriki alikuwa ni mkaazi wa  Dar.

 Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi Amin.
INNA LILLAH WAINNA ILAIH RAAJIUUN

Kayu Ligopora
KATIBU WA JUMUIYA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2012

    INNA LILLAHI WAINA ILLAHIM RAJIUN, SURELY WE WILL ALL RETURN ONE DAY TO OUR LORD AND MAY ALLAH REST HER SOUL IN PEACE IN JANATU NAEEM AMIN

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2012

    Roho ya marehemu ipunzike kwa amani. Amen

    ReplyDelete
  3. "INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJI'UN"(Surely we belong to GOD and to HIM shall we return). May ALLAH grant her soul the best place in JAN'NATU-N'NAEEM - AMEN. Na muwe pole wafiwa na wanajumuiya wote wa Tanzania nchini Ugiriki. Mwenyeez Mungu wajaaliye na kuwapa moyo wa subira, stahmala na faraja, khususan katika kipindi hiki cha kuondokewa na mpenda wetu. Nasi sote tulio nyuma yake, MOLA wetu tujaaliye "Khusnil-Khatma" Ameen.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 11, 2012

    mwenyenzi mungu akulaze mahala pema peponi Asha kalenga mwenyenzi mungu alikupenda na amekwita mja wako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...