Wadau wa Umoja wa wanataaluma waliosoma China (CAAT) wamkaribisha Balozi mpya wa China Bw Lu Youqing .Kutoka kulia ni Johnspeter Majura,George Oreku,Balozi Lu Youqing,Fredy Maiga na Burton Kihaka.Pamoja na ukaribisho huo vilevile wadau wameongelea ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na China hasa nyanja za kilimo ,Teknoloj ia na Uwekezaji kwenye viwanda.













































Post a Comment