Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda kwenye boti katika Bandari ya
Mafia kwenda Bandari ya Nyamisati, wilayani Rufiji baada kufanya ziara
ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo
inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama pamoja na kusikiliza kero za
wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA WA
KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Kinana akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la ofisi ya CCM Wilaya ya Rufiji. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Mafia, Abdulkarim Shaha.
Kinana akifunua pazia wakati wa uzinduzi wa jengo hilo la kisasa.
Kinana akitoka kukagua ujenzi wa mradi wa maji wa bomba la Visiwa vya Chole na Juani wilayani Mafia.
Kinana na Katibu wa Uenezi na Itikadi wa CCM, Nape Nnauye wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya jengo hilo.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...