Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa kadi mpya ya B PESA ya banki ya I&M,Kamada wa Polisi Kanda Dar es Salaam,CP Suileman Kova (wa pili kushoto) akiwa pamoja na viongozi wa Banki ya I&M wakipiga makofi mara baada ya uzinduzi wa kadi hiyo,uliofanyika kwenye ukumbi wa Marquee ndani ya Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.toka kulia ni Mkurugenzi mkuu wa I&M Bank, Anurag Dureha,Kaimu Mkurugenzi wa banki ya I&M, Shameer Patel ,Mkurugenzi wa banki ya I&M (Arusha),Michael Shirima pamoja na Afisa Masoko wa banki ya I&M, Salilabbas Sadak (wa kwanza kushoto).
 Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa kadi mpya ya B PESA ya banki ya I&M,Kamada wa Polisi Kanda Dar es Salaam,CP Suileman Kova(wa pili  kushoto) akishirikiana na baadhi ya viongozi wa banki ya I&M kukata keki yenye umbo kama kadi mpya ya B PESA. 
Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa kadi mpya ya B PESA ya banki ya I&M,Kamada wa Polisi Kanda Dar es Salaam,CP Suileman Kova akizungumza jambo kwenye uzinduzi wa kadi mpya ya B PESA ya banki ya I&M uliofanyika kwenye ukumbi wa Serena hotel jana.
 Mkurugenzi mkuu wa I&M Bank, Anurag Dureha akitoa hotuba yake kwenye uzinduzi wa kadi mpya ya B PESA itakayotumika kufanyia manunuzi mbalimbali na hata kuhamisha pesa kirahisi. 

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...