Home
Unlabelled
TASWIRA KUTOKA MORO-DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Gari T224 C?J marine blue, wewe overtake tu hata kama lorry linakuja mbele yako.
ReplyDeleteHiyo ni akili gani?
Taswira hizi nzuri zinaonyesha jinsi nchi hii ilivyobarikiwa tunachtakiwa kufanya ni kuhamasishana tu kufanyia kazi raslimali hizi ili uweze kujikimu na kujiendeleza. Miaka ya nyuma walikusanywa ombaomba mijini kwa malori wakapewa ardhi Gezaulole enzi hizo japo walipokuwa wakitolewa walilalamika baada ya muda walishukuru kuwezeshwa na kuweza kujitegemea. Raslimali tumebarkiwa nazo tujiendeleze.
ReplyDeleteHawa madereva na haya magari yamekuwaje siku hizi?
ReplyDelete