Kamishna wa Bajeti kutoka Wizara Fedha Bw. John Cheyo akitoa
ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo
jijini Dar es salaam kuhusu taarifa za upotoshaji zilizoripotiwa na vyombo vya
habari hapa nchini kuwa hazina yakauka, taarifa hizo ni za upotoshaji kwani
mfumo wa Serikali wa bajeti unaiwezesha Serikali kupanga vipaumbele vya matumizi
kulingana na bajeti ilivyopangwa ambapo
fedha zinazokusanywa kupitia mfuko mkuu wa Serikali ndizo hutumika. Kushoto ni
Kamishna msaidizi wa Bajeti Bw. Immanuel Tutuba na kulia ni Mkurugenzi msaidizi
Idara ya habari Maelezo Bw. Vicent Tiganya.
Home
Unlabelled
News Alert: Serikali yakanusha taarifa za upotoshaji zinazomhusu Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...